Mohamed
Hamisi ni mkazi wa Sombetini. Ana umri wa miaka 24. Ni mtoto wa
marehemu Hamisi Faustine. Ni mlemavu wa miguu na mkono mmoja pia una
shida. Hapendi kuomba, anapenda kujishughulisha. Kwa sasa anafanya
vikazi vidogo vidogo vya kuweka tinted kwenye magari lakini anakabiliwa
na changamoto kadhaa.
Anatamani kuwa na biashara nyingine ndogo ili aweze kuongeza kipato kuwasaidia wadogo zake watano ambapo mdogo kabisa ana miaka minne.
Anaomba msaada afungue ofisi yake ili achanganye kazi zake ya kuweka tinted (maana sasa anafanya kwa mtu) na pia ofisi hiyo ataweza kuongeza biashara nyingine ya kuuza na kuburn VCD, kuuza mitumba vocha na kadhalika. Pia baiskeli yake ni nzito, ni ya mbao na chuma hasa ukizingatia anatumia mkono mmoja zaidi.
Ombi langu kwenu.
Tumkopeshe mungu kupitia kijana huyu tukiamini ni jukumu letu kama jamii kumsaidia. Namba yake ni +255768924516 inapokea M-pesa na jina la YUKI HAMISI. Pia mnaweza kumpigia kumsikiliza zaidi.🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...