Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Nd. Omar Khamis Othman (kati) akimsikiliza afisa kutoka Mamlaka ya Vitega Uchumi Zanzibar (ZIPA) zone ya Pemba, Nd. Ali Shaaban Suleiman akitoa ufafanuzi wa maeneo yanayotegemewa kuwekezwa.
Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Bi. Salama Mbarouk Khatib akimkaguza Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Nd. Omar Khamis Othman katika eneo linalotarajiwa kuwekezwa Hoteli kubwa ya kitalii eneo la Kiuyu Mbuyuni Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Eneo la fukwe Kiuyu Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba linalotarajiwa kuekezwa.
Picha na Mwamize Muhammed Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Pemba.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...