Viongozi wa Club ya Rotaly tawi la Songea moani Ruvuma wakiangalia kitalu kimojawapo cha miti kilichooteshwa na klub hiyo,ili miti iweze kusambazwa katika shule za msingi na sekondari katika manispaa ya Songea.
Rais wa club ya Rotaly Tawi la Songea Albert Kessy wa pili kushoto pamoja na baadhi ya viongozi wakikabidhi miche ya miti kwa mratibu wa Asasi isiyokuwa ya kiserikali ya Roots And Shoots inayofanya kazi ya uelimishaji kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari moani Ruvuma katika uhifadhi wa mazingira jamii na wanyama Oddo Ngatunga katikati.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...