Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Ruvuma (RPC) kimepokea kwa msikitiko taarifa ya kifo cha Mwenyekiti wa Mtwara press club Hassan Simba kilichotokea Leo mchana.
Uongozi wa RPC unatoa pole kwa wanachama wa Mtwara press club, Familia ya Marehemu, Ndugu, jamaa na Marafiki na wote walioguswa na msiba huu ,tunawaombea kwa Mwenyezi Mungu awajalie uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
Pumzika kwa Amani Ndugu yetu mpendwa.



Imetolewa na:
Andrew Chatwanga,
Katibu Ruvuma Press Club.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...