NA DITHA NYONI RUVUMA
Mkuu wa mkoa wa RUVUMA BI CHRISTINA MNDEME amewataka wafanyabiashara katika mkoa wa huo kuhakikisha wanatumia vyema mashine ya kutolea risiti EFD kwa ajili kuongeza mapatao na kuweza kuwa baini wafanyabiashara wanaoiibia serikali mapato
hayo ameyasema wakati akizungumza na wafanya biashara wa manispaa ya songea .
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...