Mmoja wa washindi wa droo ya wiki ya promosheni ya ‘Jero yako
tu’ ya kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, Mwinjuma Mdoe (kushoto), akipokea
zawadi ya simu ya kisasa aina ya Moto C 4G toka Zantel kutoka kwa Mtaalamu wa
Data na Masoko wa Zantel, Hamid Mohamed jijini Dar es Salaam jana. Mteja wa
Zantel akiongeza muda wa maongezi
kuanzia shs mia tano hujipatia nafasi kushiriki na kujishindia Zawadi za
pikipiki, baiskeli, simu na pesa taslimu. Katikati ni Meneja Masoko wa kampuni
hiyo, Bi. Rukia Mtingwa.
Mmoja wa washindi wa droo ya wiki ya promosheni ya ‘Jero yako
tu’ ya kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, Mohamed Salum (kushoto), akipokea
zawadi ya simu ya kisasa aina ya Moto C 4G toka Zantel kutoka kwa Mtaalamu wa
Data na Masoko wa Zantel, Hamid Mohamed jijini Dar es Salaam jana. Mteja wa
Zantel akiongeza muda wa maongezi
kuanzia shs mia tano hujipatia nafasi kushiriki na kujishindia Zawadi za
pikipiki, baiskeli, simu na pesa taslimu. Katikati ni Meneja Masoko wa kampuni
hiyo, Bi. Rukia Mtingwa.
Meneja Masoko wa Zantel
Tanzania, Bi. Rukia Mtingwa, Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania,
Abdallah Hemedy (kushoto) na Mtaalam wa Data na Masoko wa Zantel, Hamid
Mohamed, wakichezesha droo ya wiki ya promosheni ya ‘Jero yako tu’ ya kampuni
hiyo jijini Dar es Salaam jana. Mteja wa Zantel
akiongeza muda wa maongezi kuanzia shs mia tano hujipatia nafasi
kushiriki na kujishindia Zawadi za pikipiki, baiskeli, simu na pesa taslimu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...