Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala BoravMhe. George H. Mkuchika akimpongeza Sir Leodegar Chilla Tenga kwa kuteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Baraza la Michezo la Taifa (BAMITA), akichukua nafasi ya Dionis Malinzi aliyemaliza muda wake. Hapo walikuwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Jumamosi kushuhudia pambano la soka la Ubingwa wa Afrika baina ya Yanga na Sr. Louis ya Ushelisheli. Yanga walishinda kwa bao 1-0
Home
Unlabelled
WAZIRI MKUCHIKA AMPONGEZA TENGA KWA KUTEULIWA KUWA MWENYEKITI WA BAMITA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...