Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mmiliki wa Pantoni ya MV Nyehunge, Said Mohammed kwenye gati la Kirumba wakati aliposafiri na chombo hicho kutoka jijini Mwanza kwenda Ukerewe leo Februari 18, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wafanyakazi wa Pantoni ya MV Nyehunge kwenye gati la Kirumba wakati aliposafiri na chombo hicho kutoka jijini Mwanza kwenda Ukerewe leo Februari 18, 2018.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...