Balozi wa Castle Africa 5s, Ivo Mapunda, (kushoto) akizungumza
na wachezaji (hawapo pichani) wakati wa Bonanza la Castle
Africa 5s(5- aside) lililofanyika Mwembe Yanga jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki.Bingwa katika mashindano hayo
ataiwakilisha inchi ya Tanzania katika mashindano ya Afrika
yanayotarajiwa kufanyika Zambia.
Balozi wa Castle Africa 5s, Ivo Mapunda, (wa pili kulia)
akishangilia na baadhi ya wachezaji wa Makuti kutoka Kitinda
mara baada ya kufuzu kuingia hatua ya robo fainali na
kukabidhiwa zawadi ya kreti la Bia za Castle Lager wakati wa
Bonanzala Castle Africa 5s lililofanyika Uwanja wa Bulyaga
Temeke jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Bingwa katika
mashindano hayo ataiwakilisha inchi ya Tanzania katika
mashindano ya Afrika yanayotarajiwa kufanyika Zambia.
Balozi wa Castle Africa 5s, Ivo Mapunda, (kulia) wakiteta jambo
na Mtangazaji wa Cloud’s, Shaffih Dauda walipotembelea
Bonanza la Castle Africa 5s(5- aside) lililofanyika Uwanja wa
Bulyaga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Bingwa katika
mashindano hayo ataiwakilisha inchi ya Tanzania katika
mashindano ya Afrika yanayotarajiwa kufanyka Zambia.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...