Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Rose tweve akiwa na Naibu Katibu Mkuu bara wa umoja wa wanawake wa
chama cha mapinduzi (UWT) Taifa, Eva Kihwele pamoja na katibu
wa umoja wa wanawake wa CCM (UWT) wilaya ya Kilolo Judith Laizer wakiangalia shughuli zinazofanywa na vikundi vya wanawake wa UWT tarafa ya mazombe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...