Makamo wa pili wa Rais wa baraza la Vijana , Bilal Hassan Maulid akitoa hotuba ya kuahirisha Bunge la Vijana lililofanyika ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi katika kuadhimisha siku ya Jumuiya ya Madola (Commonwealth Day) Mbweni mjini Zanzibar.
 Spika wa Bunge la Vijana Hamad Juma Masoud akizungumza na Wajumbe ndani ya Bunge la Vijana   lililofanyika ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi katika kuadhimisha siku ya Jumuiya ya Madola (Commonwealth Day)Mbweni mjini Zanzibar.
 Wajumbe wa Bunge la Vijana wakiinua mikono kuashiria kuunga mkono hoja ndani ya   Bunge la Vijana   lililofanyika ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi katika kuadhimisha siku ya Jumuiya ya Madola (Commonwealth Day)Mbweni mjini Zanzibar.
 Mwandishi wa Habari mwandamizi na mwalimu wa maswala ya Habari Salim Said Salim akitoa maoni yake baada ya kumalizika kwa Bunge la Vijana  lililofanyika ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi katika kuadhimisha siku ya Jumuiya ya Madola (Commonwealth Day)Mbweni mjini Zanzibar.
 Katibu wa Baraza la Wawakilishi, Haitham Hassan Omar akizungumza machache baada ya kumalizika kwa Bunge la Vijana  lililofanyika ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi katika kuadhimisha siku ya Jumuiya ya Madola (Commonwealth Day)Mbweni mjini Zanzibar.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Zanzibar, Simai Mohammed Said akitoa hotuba kuhusiana na Bunge la Vijana lililofanyika ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi katika kuadhimisha siku ya Jumuiya ya Madola (Commonwealth Day)Mbweni mjini Zanzibar.
Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi,  Hassan Juma akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba  kuhusiana na Bunge la Vijana lililofanyika ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi katika kuadhimisha siku ya Jumuiya ya Madola (Commonwealth Day)Mbweni mjini Zanzibar. 

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...