Wafanyakazi wa Wizara za Nishati na Madini walioko Makao Makuu mjini Dodoma, leo Machi 8 wameshiriki maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.
Sherehe za Maadhimisho hayo zimefanyika ki-Mkoa katika Eneo la Msalato na kushirikisha Wizara na Taasisi mbalimbali za Serikali, Mashirika Binafsi na baadhi ya wanafunzi wa Shule mbalimbali.
Kaulimbiu ya Maadhimisho ya Sherehe hiyo Kitaifa, kwa Mwaka huu ni ‘Kuelekea Uchumi wa Viwanda, Tuimarishe Usawa wa Jinsia na Uwezeshaji wa Wanawake Vijijini’.
Pichani ni matukio mbalimbali wakati wa maadhimisho hayo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...