Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares na Mkandarasi Justice Kato kutoka kampuni ya Juin Company Limited Civili&Building Contractors ambaye atatakeleza mradi wa maji wilayani Lushoto mbao utagharimu milioni 700 wakionyesha hati za makubaliano mara baada ya kusaini mkataba
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafiri wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares akizungumza wakati wa utiliaji saini wa makubaliano hayo kulia ni Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akizungumza wakati wa utiliaji saini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa maji wilayani Lushoto kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafiri wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...