Meneja wa Tawi la benki ya NBC Tanga,Asia Chambega (katikati)
akimkabidhi funguo ya gari aina ya Suzuki Carry maarufu kama ‘Kirikuu’ kwa
mkazi wa Lindi, Saidi Chiwina baada ya
kuibuka mmoja wa washindi sita wa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya benki hiyo
katika hafla iliyofanyika mjini Tanga leo. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma
za Wateja tawini hapo, Mwanahawa Jangwa.
Meneja wa Tawi la benki ya NBC Tanga,Asia Chambega (katikati)
akimkabidhi kadi ya gari ya gari aina ya Suzuki Carry maarufu kama ‘Kirikuu’
kwa mkazi wa Lindi, Saidi Chiwina baada
ya kuibuka mmoja wa washindi sita wa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya benki
hiyo katika hafla iliyofanyika mjini Tanga leo. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha
Huduma za Wateja tawini hapo, Mwanahawa Jangwa.
Meneja wa Tawi la benki ya NBC Tanga,Asia Chambega (katikati)
akimkabidhi kibao cha namba za gari aina ya Suzuki Carry maarufu kama ‘Kirikuu’
kwa mkazi wa Lindi, Saidi Chiwina baada
ya kuibuka mmoja wa washindi sita wa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya benki
hiyo katika hafla iliyofanyika mjini Tanga leo. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha
Huduma za Wateja tawini hapo, Mwanahawa Jangwa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...