Mchezo kati ya Timu ya Wafanyakazi wa Benki ya United Bank of Africa (UBA) Tanzania na taasisi mbalimbali kutoka nchini Uganda zilizopo nchini ukiendelea kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Ushindini Mikocheni jijini Dar es salaam. Taasisi mbalimbali kutoka nchini Uganda ilishinda bao 2 kwa bila dhidi ya Wafanyakazi wa Benki UBA.
Kikosi cha Timu ya Wafanyakazi wa Benki ya United Bank of Africa (UBA) Tanzania, wakiwa katika picha ya pamoja. Wafanyakazi hao wamecheza mechi ya kirafiki na timu ya taasisi mbalimbali kutoka nchini Uganda zilizopo nchini. Uganda ilishinda kwa mabao 2 dhidi ya UBA (Tanzania) 0. Mechi hiyo ilichezwa katika Uwanja wa Shule ya Msingi Ushindini Mikocheni jijini Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...