Misa ya kumbukumbu ya marehemu Wilfredy Mwingira iliyifanyika siku ya Jumamosi April 7, 2018 katika kanisa Katoliki la Mt. Cecilia New York na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki akiwemo Balozi wa kudumu wa Ubalozi wa Tanzani Umoja wa Mataifa New York, Mhe. Modest Mero (hayupo pichani)
Picha ya kumbukumbu ya Mzee Wilfredy Mwingira enzi ya uhai wake.
Ndugu, jamaa na marafiki wakijumuika na familia katika misa ya kumbukumbu ya marehemu Wilfredy Mwingira iliyifanyika siku ya Jumamosi April 7, 2018 katika kanisa Katoliki la Mt. Cecilia New York
Watatu toka kushoto ni Balozi wa kudumu wa Ubalozi wa Tanzani Umoja wa Mataifa New York, Mhe. Modest Mero akifuatilia misa ya kumbukumbu ya marehemu Wilfredy Mwingira iliyifanyika siku ya Jumamosi April 7, 2018 katika kanisa Katoliki la Mt. Cecilia New York
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...