Waziri wa Madini Mhe. Anjellah Kairuki akifurahia jambo na Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Venance Mabeyo kabla ya kikao
cha majumuisho kuhusu maandalizi ya uzinduzi wa ukuta kuzunguka
mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara unaotarajiwa kuzinduliwa
na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
tarehe 6 Aprili 2018.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi
akipokelewa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Venance
Mabeyo kabla ya kikao cha majumuisho kuhusu maandalizi ya uzinduzi wa
ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara
unaotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 6 Aprili 2018.
PIX7.Mafundi wakiwa katika hatua za mwisho kukamilisha maandalizi ya
uzinduzi wa ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani
Manyara unaotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 6 Aprili 2018.
Mmoja wa mafundi akiendelea na kazi ya kuandaa eneo
litakapowekwa jiwe la msingi wakati wa uzinduzi wa ukuta kuzunguka
mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara unaotarajiwa kuzinduliwa
na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
tarehe 6 Aprili 2018.
Sehemu ya geti la kuingia katika eneo la mgodi wa Tanzanite kama
inavyoonekana katika picha.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...