Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza jambo wakati akizindua kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika leo katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo Bububu Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Mwenyekiti
wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark J.Mwandosya
akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kongamano la Maadhimisho ya
Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika leo katika Ukumbi wa Kampasi
ya Chuo Bububu Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Viongozi
walioshiriki katika Uzinduzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu
ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee
Abeid Karume lililofanyika leo katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo cha
Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Bububu.
Baadhi
ya Vijana walioshiriki katika Uzinduzi wa Kongamano la Maadhimisho ya
Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika leo katika Ukumbi wa Kampasi
ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Bububu ambalo limezinduliwa
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (hayupo pichani)
Picha na IkuluKUSOMA ZAIDI SOMA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...