Madiwani
watatu wa CHADEMA wilayani Monduli wamejiuzuru nafasi zao na kujiunga
na chama cha Mapinduzi (CCM) mapema jana tarehe 29.04.2018 Madiwani hao
kuanzia pichani kulia ni Bariki Sumuni Libilibi wa kata ya Monduli
Juu,Einoti N. Leringa wa viti maalum kata ya Monduli Juu pamoja na Dominic Mawalla Kadogoo diwani wa kata ya Migungani,wengineo ni Diwani Lot Naparane kata ya Meserani pamoja na Diwani Solomon Mollela .Wote kwa pamoja walikabidhi barua za kujiuzulu kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Monduli
Einoti N. Leringa wa viti maalum kata ya Monduli Juu akikabidhi barua yake ya kujiuzuru kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Monduli
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...