Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Monduli ndugu Edward
Lenanu Laizer akitangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya Udiwani kata ya Naalarami
na kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga na CCM leo tarehe
28/04/2018.
Makamu
mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Monduli ndugu Edward Lenanu
Laizer akiwasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Monduli na kutangaza kujivua uanachama
wa CHADEMA na kujiunga na chama cha CCM leo April 28, 2018
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...