Rais wa Biitha ya Hijja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sheikh Abdulla Talib Abdalla (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi habari (hawapo pichani) kuhusu maendeleo ya matayarisho ya safari ya Ibada ya Hijja kwa mwaka 2018 sawa na 1439 hijiria, kulia ni Mratibu wa Biitha Tanzania Bara Mussa Hemed Juma na kushoto ni Mtendaji Mkuu waShughuli za Biitha Ofisi ya Zanzibar Khalid Mohamed Mrisho.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiendelea na majukumu yao wakati Rais wa Biitha ya Hijja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sheikh Abdulla Talib Abdalla (hayupo pichani) akitoa taarifa ya maendeleo ya matayarisho ya safari ya Ibada ya Hijja kwa mwaka 2018 sawa na 1439 hijiria.
Picha na Idara ya Habari - MAELEZO.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...