Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Benjamin Sitta akiwa nchini Swedeni katika manispaa ya Strangnas ambayo ni marafiki wa jiji la Dar es salaam kujifunza mambo mbalimbali ya uendeshaji wa Manispaa na Jiji,Mhe.Benjamin Sitta analiwakilisha jiji la Dar es salaam na pia alipata wasaa wa kumtembelea Ofisini kwake Balozi wa Tanzania nchini Sweden Mhe.Balozi Dkt.Slaa.
Picha ya pamoja
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...