Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini katika kitabu cha maombolezo alipojiunga na waombolezaji wengine kuaga mwili wa marehemu Mzee Sylivester Lubala Shimba, baba mzazi wa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula, Mikocheni jijini Dar es salaam leo Aprili 12, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa pole kwa mjane wa marehemu Mama Cesilia Kabula Fidelis alipojiunga na waombolezaji wengine kuaga mwili wa marehemu Mzee Sylivester Lubala Shimba, baba mzazi wa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula, Mikocheni jijini Dar es salaam leo Aprili 12, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa heshima zao za mwisho walipojiunga na waombolezaji wengine kuaga mwili wa marehemu Mzee Sylivester Lubala Shimba, baba mzazi wa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula, Mikocheni jijini Dar es salaam leo Aprili 12, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa pole kwa watoto wa marehemu Bw. Richard Lubala (kushoto kwake) na Charles Lubala (kulia kwake) alipojiunga na waombolezaji wengine kuaga mwili wa marehemu Mzee Sylivester Lubala Shimba, baba mzazi wa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula, Mikocheni jijini Dar es salaam leo Aprili 12, 2018
Mama Janeth Magufuli akimpa maneno ya faraja Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula, kwa kufiwa na baba yake mzazi Mikocheni jijini Dar es salaam leo Aprili 12, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe
Mama Janeth Magufuli wakimfariji Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula, kwa kufiwa na baba yake mzazi
Mikocheni jijini Dar es salaam leo Aprili 12, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe
Mama Janeth Magufuli wakifariji wafiwa walipojiunga na waombolezaji
wengine kuaga mwili wa marehemu Mzee Sylivester Lubala Shimba, baba
mzazi wa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.
Angelina Mabula, Mikocheni jijini Dar es salaam leo Aprili 12, 2018.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...