Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea
mfano wa funguo kutoka kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Dkt. Hussein Mwinyi ikiwa ni ishara ya kukabidhiwa rasmi ukuta
uliojengwa kuzunguka eneo la mgodi wa madini ya Tanzanite eneo la
Mirerani mkoani Manyara wakati wa sherehe za kuuzindua ukuta huo wenye
uerefu wa kilomita 24.5 leo Aprili 6, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akionedha
hati aliyopokea kutoka kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Dkt. Hussein Mwinyi ikiwa ni ishara ya kukabidhiwa rasmi ukuta
uliojengwa kuzunguka eneo la mgodi wa madini ya Tanzanite eneo la
Mirerani mkoani Manyara wakati wa sherehe za kuuzindua ukuta huo wenye
uerefu wa kilomita 24.5 leo Aprili 6, 2018.
Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi hati ya shukrani Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo baada ya jeshi hilo kukamilishi mbele ya wakati ujenzi wa ukuta wenye urefu wa kilomita 24.5 kuzunguka eneo la migodi ya madini ya Tanzanite huko Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za kuzindua ukuta huo leo Aprili 6, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi kitambulisho cha Taifa mmoja wa wamiliki wa migodi ya Tanzanite ili kuwawezesha kupata ruksa ya kuingia na kufanya kazi ndani ya eneo lililozungukwa na ukuta eneo la migodi ya madini ya Tanzanite huko Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za kuzindua ukuta huo leo Aprili 6, 2018 .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akifunua pazia kuashiria uzinduzi rasmi wa ukuta wenye urefu wa kilomita 24.5 kuzunguka eneo la migodi ya madini ya Tanzanite huko Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za kuzindua ukuta huo leo Aprili 6, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli na viongozi wengine wakipata maelezo ya madini ya Tanzanite yanavyochajkatwa wakati wa uzinduzi rasmi wa ukuta wenye urefu wa kilomita 24.5 kuzunguka eneo la migodi ya madini ya Tanzanite huko Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za kuzindua ukuta huo leo Aprili 6, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli na viongozi wengine katika picha ya pamoja na watendaji wa JWTZ na JKT waliosimamia kazi za ujenzi wa ukuta wenye urefu wa kilomita 24.5 kuzunguka eneo la migodi ya madini ya Tanzanite huko Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za kuzindua ukuta huo leo Aprili 6, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli katika picha na mvumbuzi wa madini ya Tanzanite Mzee Jumanne Ngoma wakati wa uzinduzi rasmi wa ukuta wenye urefu wa kilomita 24.5 kuzunguka eneo la migodi ya madini ya Tanzanite huko Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara kwenye sherehe za kuzindua ukuta huo leo Aprili 6, 2018. Picha na IKULU.
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...