Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora mhe. Kapteni Mstaafu George Mkuchika akiwasilisha hotuba ya makadirio ya matumizi ya Ofisi hiyo na Taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2018/19 leo mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI mhe. Selemani Jafo akiwasilisha hotuba ya makadirio ya matumizi ya Ofisi hiyo na Taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2018/19 leo mjini Dodoma.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiteta jambo na Naibu Waziri wake mhe Juliana Shonza wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni mjini Dodoma.
Waziri wa Nishati Dkt. Merdard Kalemani akiteta jambo na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi mhe. William Lukuvi Bungeni mjini Dodoma leo.
Mbunge wa Msalala mhe. Ezekiel Maige akisisitiza jambo Bungeni wakati wa Kipindi cha maswali na majibu Bungeni mjini Dodoma mapema leo.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...