Prof Mark Mwandosya akionesha samaki aina  Mbasa (Opsaridium microlepis),waliovuliwa mapema leo asubuhi Matema katika Ziwa Nyasa. Prof.Mwandosya amesema kuwa aina ya Samaki huyo ni mwenye ladha nzuri kuliko wote Duniani."Samaki huyo anapatikana Ziwa Nyasa tu. Mbasa (Opsaridium microlepis), the most tasty and delicious fish in the world, is endemic to Lake Nyasa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...