Mkurugenzi
wa Kampuni ya Jan International Sheikh Muhmmad akisoma moja ya tiketi
ya mshindi wa Bahati Nasibu iliyochezeshwa na kampuni hiyo mbele ya
wateja wao mapema mwisho mwa wiki Namanga,jijini Dar,ambapo mshindi
alijinyakulia gari,kulia kwake ni Meneja wa Kampuni hiyo Mohamed Shebu
Omari akishuhudia
Murugenzi wa Kampuni ya Jan International Sheikh Muhmmad akiwaonesha
wateja wao (hawapo pichani) moja ya tiketi ya mshindi wa Bahati Nasibu
iliyochezeshwa na kampuni hiyo kwa Wateja wao mapema mwisho mwa
wiki,Namanga Jijini Dar,ambapo mshindi alijinyakulia gari.
Picha kulia ni baadhi ya viongozi wa Kampuni ya Jan International
wakimkabidhi Mshindi wa Bahati Nasibu iliyochezeshwa na kampuni
hiyo,mfano wa ufunguo kwa mshindi wa tatu kulia aliyejulikana kwa jina
la Young Gwang Yu
Mshindi
wa Gari Young Gwang Yu akiwa na mfano wa funguo mara baada ya kutajwa
kuwa mshindi wa bahati nasibu iliyochezeshwa na kampuni ya Jan
International mbele ya Wateja wake mbalimbali (hawapo pichani),mapema
mwisho mwa wiki. Jan International ni wauzaji wa magari
yaliyotumika,ambapo kwa sasa inafanya kazi katika nchi 18 Duniani
ikiwemo Tanzania
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...