Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia  mchezo wa kutimiza ratiba kati ya Mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Simba SC  na Kagera Sugar ambapo Simba walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodaco kati ya Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi kombe la Ubingwa wa Ligi kuu ya Soka ya Vodacom kwa nahodha wa Simba SC John Bocco baada ya mchezo wa kutimiza ratiba klabu hiyo ya Msimbazi na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na viongozi wengine katika picha ya pamoja na timu ya Tanzania ambayo ni Washindi wa Pili wa michuano ya dunia ya vijana wanaoishi kwenye mazingira magumu ambapo Tanzania ilifika fainali na kufungwa bao 1-0 na Brazil huko Urusi. Hii ilikuwa  baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018  
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na viongozi wengine katika picha ya pamoja na timu ya Serengeti Boys ambao ni mabingwa wa Kombe la vijana wa umri wa chini ya miaka 17 wa CECAFA wa  baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba SC na Kagera sugar ambapo Simba walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018  
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na viongozi wengine katika picha ya pamoja waamuzi na wasimamizi baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba SC na Kagera sugar ambapo Simba walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018  
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine katika picha ya pamoja wachezaji na iongozi wa Kagera Suger  baada ya mchezo wao wa  kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom  kati yao na Simba SC ambapo  Kagera sugar walishinda  bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018   
  
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine katika picha ya pamoja na Klabu Bingwa ya Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodaco kati yao Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018   
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia mashabiki wa soka mikono baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodaco kati yao Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018. Picha na IKULU   
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...