JESHI la Polisi mkoani Ruvuma linawashirikilia watu watatu kwa kosa la kukutwa na vipande 23 vya meno ya tembo yenye thamnai ya shilingi milioni 175 katika soko la vyakula la Lizaboni Manispaa ya Songea.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ruvuma SACP Gemini Mushy amesema watu hao walikamatwa Mei 25 mwaka huu na kwamba majina ya watuhumiwa hao yamehifadhiwa kwa sababu za kiupelelezi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...