--
Kiongozi wa HDIF Tanzania , David McGinty akizungumza wakati wa kufunga Wiki ya Ubunifu iliyofanyika katika Ukumbi wa Costech Jijini Dar es Salaam
Kiongozi wa HDIF Tanzania , David McGinty akitoa cheti kwa moja ya vijana walikuwa wakijitolea kutoa huduma kwa watu walifika katika wiki ya ubunifu iliyoandaliwa na HDIF kwa ushirikiano wa UKAID na Costech
Mtaalamu wa Mawasiliano wa Shirika la HDIF Hannah Mwandoloma akipokea zawadi kutoka kwa moja ya Viongozi wa HDIF mara baada ya kumalizika kwa Wiki ya Ubunifu.
Kiongozi wa HDIF Tanzania , David McGinty akizungumza jambo na sehemu ya wadau kutoka Mashirika Mbalimbali walioshiriki wiki ya Ubunifu
Sehemu ya Wanafunzi walioshiriki Wiki ya Ubunifu wakifatlia kwa makini hotuba mbalimbali wakati wa kufunga
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...