Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi, (ACP) Barnabas Mwakalukwa akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Studio ya Wanene Entertainment Darsh Pandit alipotembelea Studio hiyo iliyopo Mikocheni jijini Dar es salaam. Picha na Jeshi la Polisi.
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi, (ACP) Barnabas Mwakalukwa akizungumza na mtayarishaji wa muziki wa Studio ya Wanene Entertainment Goncher, alipotembelea Studio hiyo iliyopo Mikocheni jijini Dar es salaam. Picha na Jeshi la Polisi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...