Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipojumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Futari aliyowaandalia jana katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni Wilaya ya Micheweni ikiwa ni katika mpangilio wake kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar,(kushoto) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,Mwenyekiti wa CCM MKoa wa Kaskazini Pemba Mzee Mberwa Hamad Mberwa (wa pili kulia) na Mzee Haji Nasibu Nyanya (kulia).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipojumuika na Wananchi na Waislamu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Swala ya Magharibi Iliyoswalishwa na Sheikh Ukasha Hijja Shariff (mbele) kabla ya Futari aliyoiandaa jana katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni Wilaya ya Micheweni ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (wa pili kulia) akijumuika na Viongozi akinamama na Wananchi wengine wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Futari aliyoandaliwa jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni.
Baadhi ya Akinamama wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa katika Futari iliyoandaliwa jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni, Wilaya ya Micheweni ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar.
Wananchi na Waislamu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa katika Futari iliyoandaliwa jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni, Wilaya ya Micheweni ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar.
Baadhi ya Wananchi na Waislamu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa katika Futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni, Wilaya ya Micheweni ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar.
Sheikh Omar Hamad (kushoto) alipokuwa akitoa Shukurani kwa Niaba ya Wananchi wa Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba jana katika Futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni, ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...