Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete akiwa ana swali kabla ya Iftar iliyoandaliwa na Taasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Ikulu ndogo Msoga

Mmoja ya Wadau kutoka Taasisi ya K Innovates Nasra Kaseja akizungumza  kuhus umuhimu wa kuwasaidia watoto yatima wakati wa Iftar iliyoandaliwa na Taasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima, Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Ikulu ndogo Msoga
Mshehereheshaji wakati wa Iftar,Masoud Kipanya akizungumza  kuhusu utaratibu na umuhimu wa kufutirisha makundi ya watu maalum katika kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete akipakuwa chakula wakati wa Iftar iliyoandaliwa na Taasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Ikulu ndogo Msoga
Wadau wa Tasisi ya Ko Innoavate Pink Ijab wakiwa katika picha kabla ya Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Ikulu ndogo Msoga
Mbunge wa Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Ridhiwani Kikwete katikati akiwa na Wadau waliotoa Vifaa kwa ajili ya Watoto Yatima wakati wa Iftar iliyoandaliwa na Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Ikulu ndogo Msoga
Baadi ya wadau waliofika katika Iftar iliyofanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Ikulu ndogo Msoga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...