JOSEPH MPANGALA,MTWARA
Shirika la Viwango Tanzania TBS kwa kushirikiana na Tume ya ushindani FCC Imetoa mafunzo kwa wafanyabishara mbalimbali mkoani Mtwara yenye lengo la kuwajengea Uwezo wa kutambua Bidhaa Feki ambazo zinaingia sokoni pamoja na Kuwawezesha waweze kuzingatia sheria ya Ubora wa bidhaa Wanazonunua na Kuuza.
Mafunzo HAYO yamepita Duka kwa Duka na kutembelea wajasiliamali na Wauzaji wa Bidhaa mbalimbali na hivyo kubaini kuwa Kwa kiasi kikubwa Bidhaa zinazouzwa zinakidhi Viwango vya Ubora lakni kuna baadhi ya Sehemu kumeonekana kuwa na matatizo.
Frank mndimi ni Afisa mwandamizi mawasiliano na Mahusiano ya Uma kutoka Tume ya Ushindani FCC anasema Elimu hiyo inayopelekwa kwa wananchii na wafanyabiashara inaumuhim kwa sababu inajenga uwezo mkubwa katika kukuza Biashara hasa kwa wajasiliamali.
“Wafanyabiashara wengi wametaka Elim hii Ifanyike mara kwa mara lakini pia tumebaini Bidhaa zinazouzwa kwa kiasi kikubwa kwa sasa zinakidhi Viwango na zinakidhi matarajio na Bidhaa Halisi Kuna sehem Kidogo Bado Bidhaa zinamatatizo matatizo lakini Tumewaelimisha nini cha kufanya kuangalia na kuzingatia kwamba wanaweka bidhaa ambazo ni nzuri,bidhaa zinazo kizi matwakwa ya Sheria ya miliki Bunifu “alisema Frank.
Naye Mkuu wa Maabara ya Uhandisi Ujenzi TBS Stiphen Minja amesema madhara ambayo mfanyabishara yanaweza kumtokea Pindi anapouza Bidhaa isiyokuwa Bora ni pamoja madhara ya kiuchumi pamoja na Uchafuzi wa Afya.
“Mfanyabishara anapoweka Bidhaa sokoni ambayo haikidhi matakwa ya Ubora kwanza atapata madhara ya Kiuchumi,Kiafya na kimazingira,kama Mtu atanunua Bidhaa kwenye eneo lake Supermarket yake au duka la vifaa vya ujenzi popote pale ile bidhaa atakaposhindwa kuitumia hatarudi kwenye Duka lile kwenda kununua Bidhaa kwa sababu ameshakutana na Bidhaa yake ambayo Haina Ubora”.
Mfanyabishara wa
Bidhaa za Rejareja Hemen Bajaria akimweleza Afisa mwandamizi mawasiliano na Mahusiano ya Uma kutoka Tume ya Ushindani FCC Frank Mdim Juu
ya Elim aliyoipta katika Kutambua Bidhaa zenye Viwango na Nembo ya TBS
Stiphen Minja Mkuu wa Maabara ya Uhandisi Ujenzi TBS
akitoa elim kwa mmoja wa wafanyabiashara wa Spea za
Mabari Mkoani mtwara Mbarak Mabrouk juu
ya Uagizwaji wa Bidhaa Kutoka nje ya Nchi na Jinsi ya Kutambua Bidhaa hizo kama
zinaubora uanaohitajika kwa Wanunuzi.
Stiphen Minja Mkuu wa Maabara ya Uhandisi Ujenzi TBS akiwa
na Afisa mwandamizi mawasiliano na
Mahusiano ya Uma kutoka Tume ya
Ushindani FCC Frank Mndami wakitazama moja ya Kopo la Asali lililofungashwa
Vizuri na mmoja wa wajasiliamali kisha kupelekwa katika moja ya Soko kubwa
liliko Mkoani Mtwara.
Shirika la Viwango Tanzania TBS kwa kushirikiana na Tume ya ushindani FCC Imetoa mafunzo kwa wafanyabishara mbalimbali mkoani Mtwara yenye lengo la kuwajengea Uwezo wa kutambua Bidhaa Feki ambazo zinaingia sokoni pamoja na Kuwawezesha waweze kuzingatia sheria ya Ubora wa bidhaa Wanazonunua na Kuuza.
Mafunzo HAYO yamepita Duka kwa Duka na kutembelea wajasiliamali na Wauzaji wa Bidhaa mbalimbali na hivyo kubaini kuwa Kwa kiasi kikubwa Bidhaa zinazouzwa zinakidhi Viwango vya Ubora lakni kuna baadhi ya Sehemu kumeonekana kuwa na matatizo.
Frank mndimi ni Afisa mwandamizi mawasiliano na Mahusiano ya Uma kutoka Tume ya Ushindani FCC anasema Elimu hiyo inayopelekwa kwa wananchii na wafanyabiashara inaumuhim kwa sababu inajenga uwezo mkubwa katika kukuza Biashara hasa kwa wajasiliamali.
“Wafanyabiashara wengi wametaka Elim hii Ifanyike mara kwa mara lakini pia tumebaini Bidhaa zinazouzwa kwa kiasi kikubwa kwa sasa zinakidhi Viwango na zinakidhi matarajio na Bidhaa Halisi Kuna sehem Kidogo Bado Bidhaa zinamatatizo matatizo lakini Tumewaelimisha nini cha kufanya kuangalia na kuzingatia kwamba wanaweka bidhaa ambazo ni nzuri,bidhaa zinazo kizi matwakwa ya Sheria ya miliki Bunifu “alisema Frank.
Naye Mkuu wa Maabara ya Uhandisi Ujenzi TBS Stiphen Minja amesema madhara ambayo mfanyabishara yanaweza kumtokea Pindi anapouza Bidhaa isiyokuwa Bora ni pamoja madhara ya kiuchumi pamoja na Uchafuzi wa Afya.
“Mfanyabishara anapoweka Bidhaa sokoni ambayo haikidhi matakwa ya Ubora kwanza atapata madhara ya Kiuchumi,Kiafya na kimazingira,kama Mtu atanunua Bidhaa kwenye eneo lake Supermarket yake au duka la vifaa vya ujenzi popote pale ile bidhaa atakaposhindwa kuitumia hatarudi kwenye Duka lile kwenda kununua Bidhaa kwa sababu ameshakutana na Bidhaa yake ambayo Haina Ubora”.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...