Mkuu
wa Kitengo cha Masoko wa Tigo, William Mpinga (kushoto) akizungumza na
waandishi wa habari katika uzinduzi wa kampeni ya Tukio Kubwa Zaidi la
Soka Duniani. Mashabiki wa soka sasa wanaweza kutazama mechi za Kombe la
Dunia laivu kwenye simu zao za mkononi kupitia Star Times App na kupata
dondoo muhimu za tukio kubwa zaidi la michezo kwa kupiga *147*00# au
kwenye Tigo Sports Portal. Kulia ni Meneja wa Masoko na Matangazo wa
StarTimes, David Malisa.
Meneja
wa Masoko na Matangazo wa StarTimes, David Malisa akizungumza na
waandishi wa habari katika uzinduzi wa kampeni ya Tukio Kubwa Zaidi la
Soka Duniani. Mashabiki wa soka sasa wanaweza kutazama mechi za Kombe la
Dunia laivu kwenye simu zao za mkononi kupitia Star Times App na kupata
dondoo muhimu za tukio kubwa zaidi la michezo kwa kupiga *147*00# au
kwenye Tigo Sports Portal. Kushoto ni
Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Tigo, William Mpinga .
Mkuu
wa Kitengo cha Masoko wa Tigo, William Mpinga (kushoto) akikabidhiana
mpira na Meneja wa Masoko na Matangazo wa StarTimes, David Malisa katika
uzinduzi wa kampeni ya Tukio Kubwa Zaidi la Soka Duniani. Mashabiki wa
soka sasa wanaweza kutazama mechi za Kombe la Dunia laivu kwenye simu
zao za mkononi kupitia Star Times App na kupata dondoo muhimu za tukio
kubwa zaidi la michezo kwa kupiga *147*00# au kwenye Tigo Sports Portal.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...