Napenda kuchukua fursa hii kuwasalimu na kuwapa taarifa rasmi kua mashindano ya urembo nchini pendwa ya Miss Tanzania yanaanza rasmi kesho tarehe 29 June 2018 na mikoa ya Dodoma na Mbeya. Ikifuatiwa na mikoa mingine itakayo fanyika tarehe 7/7/2018. Baada ya hapo yataanza mashindano ya kanda.

▶️Kanda ya nyanda za juu kusini 13/07/2018
▶️Kanda ya vyuo 21/07/2018
▶️Kanda ya ziwa 28/07/2018
▶️Kanda ya Dar 28/07/2018
▶️Kanda ya kaskazini 28/07/2018
▶️Kanda ya kati 03/08/2018
▶️Kanda ya mashariki 04/08/2018
Kwa niaba ya uongozi wa 'The Look' natoa shukrani za dhati kwa jinsi mnavyotuunga mkono. Na tunaomba wadau wote wa tasnia ya urembo na wananchi kwa ujumla mjitokeze kwa wingi kuhudhuria mashindano haya ambayo kwa kweli kwa mwaka huu yamekuja kivingine.

@BasillaMwanukuzi
#sanaanikazi
#UremboNaKaziKwaMaendeleoYaJamii 
#NewMissTanzania

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...