Naibu Mkurugenzi Mtendaji (Huduma Shirikishi) wa Benki ya CRDB, Dorah Ngaliga (wa tatu kushoto) akikata keki katika sherehe maalum kwa wateja wa Akaunti ya Malkia wa Benki hiyo tawi la Oysterbay, iliyofanyika mwishoni mwa wiki ikiwa na lengo la kuwakutatisha pamoja wateja wake. Kushoto ni Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Oysterbay, Juliana Mhimbira.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji (Huduma Shirikishi) wa Benki ya CRDB, Dorah Ngaliga akizungumza na baadhi ya wateja wa Akaunti ya Malkia waliofika kwenye hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Benki hiyo tawi la Oysterbay, ikiwa na lengo la kuwakutatisha pamoja wateja wake na kuzungumza nao. hafla hiyo ilimefanyika mwishoni mwa wiki, Masaki jijini Dar es salaam.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Oysterbay, Juliana Mhimbira akizungumza na baadhi ya wateja wa Akaunti ya Malkia waliofika kwenye hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Benki hiyo tawi la Oysterbay, ikiwa na lengo la kuwakutatisha pamoja wateja wake na kuzungumza nao. hafla hiyo ilimefanyika mwishoni mwa wiki, Masaki jijini Dar es salaam. 
 Mkurugenzi wa Kampuni ya GS1, Fatma Kange akizungumza jambo wakati akitoa maja ya ujasiriamali kwa wanawake ambao ni wateja wa Akaunti ya Malkia waliofika kwenye hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Benki ya CRDB tawi la Oysterbay, ikiwa na lengo la kuwakutatisha pamoja wateja wake na kuzungumza nao. hafla hiyo ilimefanyika mwishoni mwa wiki, Masaki jijini Dar es salaam. 
Sehemu ya wateja wa Benki ya CRDB tawi la Oysterbay, wakiwa kwenye hafla hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...