Naibu Waziri wa Afya Wanawake Jinsia na Watoto.Dk Faustine Ndungulile akizungumza wakati wa kufunga kongamano la sita la watalaamu wa Sayansi na tiba
Naibu Waziri wa Afya Wanawake Jinsia na Watoto.Dk Faustine Ndungulile akikagua baadhi ya Bidhaa zinazozalishwa na Chuo Kikuu Cha sayansi Shirikishi Muhimbili wakati wa kufunga kongamano la sita la Wanasayansi

Sehemu ya Washiriki wa Kongamano hilo wakiwa wanasikiliz ahotuba ya kufunga iliyotolewa na Naibu Waziri

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...