Utakuwa ni wakati wa burudani ya aina yake ,kuanzia Julai 13 hadi 31, kila mteja
wa DStv ambaye akaunti yake iko hewani atazawadiwa chaneli zote za michezo na
za Watoto buree kabisa!
Amini usiamini…., utashuhudia mieleka na mbio za magari za langalanga(Formula
1) kupitia Supersport 1,2,3,4,5,6,7 na 8.
Ofa hii haijawaacha Watoto kwani nao wataweza kushuhudia katuni mpya za
peppa pig/munki and trunk na cloudy with a chance of meetballs kupitia Cartoon
network, Disney, Nickleodeon na Cbeebies.
Hii si ya kukosa…….. au vipi?
Hakikiksha tu akaunti yako haijakatika na kama imeatika wahi kulipia akauti yako
leo usipitwe na ofa hii ya aina yake!
Kumbuka ni chaneli zote za Supersport na katuni (Watoto) bila kijali kifurushi
ulichopo.Unangoja nini?
#KamaSioDStvPotezea
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...