Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na
watumishi raia, askari na maafisa (hawapo pichani), wakati wa kikao cha
ndani na watumishi hao wakati wa ziara ya kikazi, mkoani Shinyanga,
leo.Ambapo amewataka askari kutojihusisha na matendo ya rushwa pamoja na
kubambikia rushwa wananchi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Sajenti
wa Jeshi la Magereza, Athumani Massawo, akizungumza wakati wa kikao cha
ndani cha Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni (hayupo pichani), wakati wa kikao cha ndani na watumishi hao
wakati wa ziara ya kikazi, mkoani Shinyanga, leo.Picha na Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi.
Kaimu
Mkuu wa Magereza Mkoa wa Shinyaga,Mrakibu Mwandamizi Venance Mwamakula
akizungumza wakati wa kikao cha ndani cha Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani
ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), wakati wa kikao cha
ndani na watumishi hao, mkoani Shinyanga, leo.Picha na Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi.
Askari
wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni (hawapo pichani), wakati wa kikao cha ndani na watumishi hao
wakati wa ziara ya kikazi, mkoani Shinyanga, leo.Ambapo amewataka askari
kutojihusisha na matendo ya rushwa pamoja na kubambikia rushwa
wananchi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,IMEANDALIWA NA
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...