Sehemu ya Banda la Shirika la Nyumba la Taifa NHC Linavyonekana kwa nje kwenye Maoneshoi ya Biashara ya 42 Sabasaba yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Afisa Mauzo Mwandamizi wa shirika la Nyumba la Taifa NHC Joseph Haule akitoa maelezo juu ya kazi na miradi inayofanywa na shirika la nyumba katika Maonesho ya 42 ya biashara yanayoendelea Jijini Dar es Salaam.
Ofisa kutoka shirika la nyumba la Taifa akionyesha moja ya nyumba za Ghrama nafuu zinazojengw ana shirika hilo katika Jiji la Dodoma.
Sehemu ya watu waliofika kwa wingi katika banda la Shirika la nyumba kwenye Maonesho ya 42 biashara yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Maharufu kama Sabasaba.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...