Afisa fao la Matibabu kutoka  Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF ,Aisha Nyasana akizungumza na Mmoja wa Wanufaika kuhusu Faida ya fao hilo kwa familia.
Afisa Mkuu Mwandamizi Kitengo cha Hiyari NSSF Makao Makuu, Abas Cothema akitoa elimu kwa mmoja wa Wajasiliamali waliofika katika banda hilo kwenye Maonesho ya 42 ya Sabasaba
Afisa wa Fao la nje kitengo cha WESTADI Makao Makuu, Halima Mgalla akizungumza na wateja waliotembelea katika dawati lake kufahamu zaidi kuhusu fao hilo la nje ya nchi
Baadhi ya wateja waliofika katika Banda la NSSF lilipo kwenye Maonesho ya Sabasaba wakipatiwa  huduma
Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Jamii wa NSSF Wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya ofisi ya Mapokezi katika banda lao la Maonesho ya 42 ya Sabasaba yanayoendelea Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...