Viongozi Wakuu wastaafu wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam walipokutana na kuzungumza na mwenyeji wao Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliyewaalika.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika Job Ndugai na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiwa na Viongozi Wakuu Wastaafu walioalikwa kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Julai 3, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakisalimiana na Mawaziri wakuu Wastaafu Mhe. Edward Lowassa, Mhe. Frederick Sumaye na Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba  wakati viongozi wakuu wastaafu walipoalikwa kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Julai 3, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa na Marais wastaafu Mhe. Benjamin Mkapa, Alhaji Ali Hassan Mwinyi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na  Dkt. Amani Abeid Karume  wa Zanzibar  wakati viongozi wakuu wastaafu walipoalikwa kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Julai 3, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa na Mawaziri wakuu wastaafu Mhe. Cleopa Msuya, Dkt. Salim Ahmed Salim na Jaji Joseph Sinde Warioba  wakati viongozi wakuu wastaafu walipoalikwa kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Julai 3, 2018.  BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...