
Rais wa awamu ya nne Mh Dkt Jakaya Kikwete akipata maelezo kuhusiana na huduma mbali mbali zinazofanywa na Shirika la Taifa ya Hifadhi ya jamii NSSF kutoka kwa Kaimu Meneja uhusiano na masoko Bwana Salim Khalfan ,pembeni yake ni Mkurugenzi wa mamlaka ya maendeleo ya biashara Tanzania Tan Trade, Edwin Rutegaruka mara baada ya kutembelea katika banda la NSSF kwenye maonesho ya 42 Biashara ya Kimataifa kwenye viwanja vya sabasaba,jijini Dar


Rais wa awamu ya nne Mh Dkt Jakaya Kikwete akikabidhiwa zawadi na mmoja wa Maofisa wa Shirika la Taifa ya Hifadhi ya jamii (NSSF) ,Angella Msangi mara baada ya kupata maelezo kuhusiana na huduma mbali mbali zitolewazo na Shirika hilo,alipotembelea mapema leo katika banda la NSSF kwenye maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya sabasaba,jijini Dar.
Rais wa awamu ya nne Mh Dkt Jakaya Kikwete akiwasili kwenye banda la Shirika la Taifa ya Hifadhi ya jamii (NSSF),mapema leo alipotembelea katika banda la shirika hilo kwenye maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya sabasaba,jijini Dar,Kushoto kwake akiwa ameambatana na Mmoja wa Maofisa wa Shirika hilo,Angella Msangi .
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...