FAMILIA ya marehemu mzee Julius Vincent Kibaja wa Makongo Juu inasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa Joyce Crara Kibaja kilichotokea tarehe 5 /7/2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Kitengo cha Mifupa Moi.
Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki kokote walipo.Taratibu zote za mazishi zinaendelea nyumbani kwa marehemu Makongo Juu na mazishi yanatarajiwa kufanyika siku ya Jumamosi tarehe 14/7/2018 katika Kijiji cha Kwemhosi wilayani Muheza mkoani Tanga.
"...Kwa maana mimi sasa namiminwa na wakati wa kufariki kwangu umefika ...Nimepigana vita vilivyo vizuri, mwendo nimemaliza, imani nimeilinda ..."
2 Timotheo 4:6-7.
2 Timotheo 4:6-7.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...