Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc aliyemaliza muda wake, Ian Ferrao akiwapungia mikono wafanyakazi wa Kampuni hiyo ikiwa ni ishara ya kuwaaga wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc aliyemaliza muda wake, Ian Ferrao akiwashukuru wafanyakazi wa Kampuni hiyo wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Ian Ferrao aliyemaliza muda wake (kulia) akikabidhi zawadi na Meneja Ruzuku wa Vodacom Vodacom Tanzania Foundation Sandra Oswald kwa niaba ya wafanyakazi wa kitengo cha Corporate Affairs wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania aliyemaliza muda wake, Ian Ferrao akivishwa shuka la kimasai ikiwa ni sehemu ya zawadi na mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni hiyo, wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc aliyemaliza muda wake, Ian Ferrao akiwa na mke wake baada ya kukabidhiwa zawadi za mila za kimasai na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc, wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc aliyemaliza muda wake, Ian Ferrao akiangalia zawadi alipokuwa akikabidhiwa na wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...