Waziri wa Viwanda na Biashara na Uwekezaji, Charle’s  Mwijage akipata maelezo kuhusiana na uzalishaji wa elimu ya ufundi kutoka kwa Meneja wa Mawasiliano wa VETA Peter Sitta wakati alipotembelea banda la VETA katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya 42 katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere  (Sabasaba)
 Mkuu wa Mkoa wa Geita, Robert Gabriel akipata akipata maelezo kuhusiana na uzalishaji wa elimu ya ufundi kutoka kwa Meneja wa Mawasiliano wa VETA Peter Sitta wakati alipotembelea banda la VETA katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya 42 katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere  (Sabasaba).
 Mkuu wa Mkoa wa Geita Robert Gabriel akiangalia bidhaa zinazozalishwa  na VETA katika kufundishia ufundi wa samani wakati alipotembelea banda la VETA katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya 42 katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere  (Sabasaba).
 Wananchi wakipata maelezo kuhusiana na utengenezaji wa bustani katika eneo dogo linalozunguka nyumba wakati walipotembelea banda la VETA katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya 42 katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere  (Sabasaba).
 Mratibu wa Mradi wa IMTT unaoendeshwa kwa kushirikiana na Kampuni za Migodi waVETA , Theresia Mosha akitoa maelezo kwa wananchi wakati walipotembelea banda la VETA katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya 42 katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere  (Sabasaba).
Mwalimu wa Umeme Lilian Mlimila akitoa maelezo kwa wanafunzi walipotembelea banda la VETA katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya 42 katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere  (Sabasaba). Picha na (Chalila Kibuda Globu ya Jamii)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...