Gari limepiga mweleka na kuingia mtaroni katika eneo la kona Kona ya bwiru jijini Mwanza chanzo cha ajali hiyo hakijafahamika kwa haraka.(picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii)
Askari Polisi wakiwa katika eneo la tukio wakiendelea na juhudi za kuliondoa gari hilo lililo piga mweleka katika enao la Kona ya bwiru jijini Mwanza.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...