Baadhi
ya washiriki wakiwa katika kikao kazi cha utoaji Elimu juu ya Sheria mpya ya
Udhibiti wa Uzito wa Magari ya Jumuiya ya Afrika Mashiriki (2016) na Kanuni
zake za mwaka 2017. Kikao hiki kimefanyika mkoani Morogoro na kuhusisha Kanda
ya Mashariki iliyojumuisha mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Morogoro.
Mkurugenzi
wa Usalama na Mazingira kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta
ya Ujenzi), kupitia Kitengo cha Usalama na Mazingira, Mhandisi Julius Chambo,
(wa tatu kushoto waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa kikao
kazi cha utoaji Elimu juu ya Sheria mpya ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ya
Jumuiya ya Afrika Mashiriki (2016) na Kanuni zake za mwaka 2017. Kikao hiki
kimefanyika mkoani Morogoro na kuhusisha Kanda ya Mashariki iliyojumuisha mikoa
ya Dar es salaam, Pwani na Morogoro.
Msimamizi wa Mizani za Mkoa wa Pwani, Charles Ndyetabula, akichangia mada wakati wa kikao kazi cha utoaji Elimu juu ya Sheria mpya ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ya Jumuiya ya Afrika Mashiriki (2016) na Kanuni zake za mwaka 2017. Kikao hiki kimefanyika mkoani Morogoro na kuhusisha Kanda ya Mashariki iliyojumuisha mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Morogoro.
PICHA
NA WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO KITENGO CHA MAWASILIANO
SERIKALINI.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...