Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) Agnes Kijo akiteta jambo na watumishi wa mamlaka hiyo kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya nchini Horohoro katikati ni Mkaguzi Mfawidhi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) mpakani mwa Tanzania na Kenya (Horohoro) Thomas Nkondola
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) Agnes Kijo akisisitiza jambo wakati akiongea na watumishi wa mamlaka hiyo kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya wa Horohoro .
Mkaguzi iwa chakula wa Mamlaka ya Chakula na Dawa katika mpaka wa Tanzania na Kenya (Horohoro) Thomas Nkondola kushoto akimuonyesha kitu Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) Agnes Kijo mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza eneo hilo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...